Tu watoto wa Afrika Ndugu zote, mnifuate Leo ni siku nzuri sana Ndugu zangu, twende pamoja Watoto wote wa dunia Tunaweza kushinda Leo ni siku nzuri sana Mioyo yetu yakwenda pamoja